Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
simu ya Nokia tochi na password Wapi na Wapi? whatsapp inbox ni swaga za mjini tuHahahaha weka password
Kwaiyo cm ya Nokia touch cku iz ina whatsapp?simu ya Nokia tochi na password Wapi na Wapi? whatsapp inbox ni swaga za mjini tu
soma vizuri hiyo quotation yako, imejieleza vyemaKwaiyo cm ya Nokia touch cku iz ina whatsapp?
simu ya Nokia tochi na password Wapi na Wapi? whatsapp inbox ni swaga za mjini tu
Mhmhmh huu ujumbe imenibidi nirudi kupekua tena inamaana yuko jamii forum ndio umekuja kunichana live auKila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Sasa wewe badala ya kumwambia mwenzio unafanya ndio taarifa kwa public, ila na wewe ni majanga ni vitu gani hivyo ambavyo mwenzio akivijua vina shida kama si MAJUNGU??..Kila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana.
Nina haki ya faragha. Unaiingilia ili iweje?
Mbona mimi sichunguzi mawasiliano yako na ndugu zako?
Mianamke ya kiswahili haina adabu wala haina akili.
Muda unaotumia kupekua simu yangu si bora ukaongeze elimu na ujuzi wako?
Pumbavu
Acha wivuHao wanawake wanaopekuwa simu yako ni wangapi mpaka uwasemee kwa "wingi"
KAITUMBUKIZE SIMU KWENYE MAJIKila wakati uko kwenye Whatsapp inbox yangu, unaangalia nachat nini na mama yangu na dada yangu?