Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 830
Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?
Ha ha ha ha Mbona wanapenda Kutuvua Kofia nakukimbia nazo?? Au ndio yale yele ya Mkuki kwa Ngur......Kaka ukitaka kugombana na mwanamke mvue wigi utakua unavuta bangi central.
Hivi ni kwa nini kweli???Haki ya Mungu kama hujipendi mvue wigi mwanamke!!!!