wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?

nikwel wanawke hawacfian kbxa
wadau, je ni kweli ni
vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura,
pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine
anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni
kweli ni kwasababu gani hawasifihani?
najali sasa!???He he he, mie mkaree kwenye kompyuta, live utakimbia
si wote, mimi huwa nawasifia sana wanawake wenzangu kama ni wazuri wa sura ha a maumbo ila kuna ndugu yangu huwa hapendi nikiwasifia mbele yake ananiambia mbona mimi huwa hunisifii.
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?
Si kwelishawambia siku nyingi kwamba wanawake huwa hawapendani.
Na huo ndio ukwelimbona mi nawasifia.............kama kajaliwa ya nini kumuwekea mtima nyongo akhuu