Wanawake hawasifihani uzuri wa sura?

Wanawake hawasifihani uzuri wa sura?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?
 
shawambia siku nyingi kwamba wanawake huwa hawapendani.
 
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?

Wengi wanasema ni vigumu wanawake kusifiana uzuri, ila mi nimewahi kuwasikia baadhi ya wadada wakiwasifia wadada wengine kwamba ni wazuri, ila kikweli ni wachache wanaokubali uzuri wa wenzao kwa njia ya mdomo hata kama moyoni wanaujua ukweli!
Kwa sisi wanaume, ni tofauti kabisa, huwa hatusifiani kabisa, na ukithubutu kumsifia mwenzio, nafikiri atakutoa kamasi!
 
mbona mi nawasifia.............kama kajaliwa ya nini kumuwekea mtima nyongo akhuu
 
wadau, je ni kweli ni vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura, pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni kweli ni kwasababu gani hawasifihani?

inaboa cna pale mtu anaposifia mwanamke mwengine eti ana uzuri wa kupindukia huku ana reference zake kama weupe saaana! ------ makubwaaaa.ukweli ni kwamba chini ya jua hakuna binadamu yeyote mzuri kupindukia lazima ana kasoro ila wazuri wapo.period!
 
[QUOTE=mhalisi;6642353na inategemea km we siku zote ni kumchalenge mkeo hapendezi kazi yako kusifia wanawake wengine ana haki ya kukutolea nje anakuona una ajenda yako tu
 
nikwel wanawke hawacfian kbxa

watu kama nyie mnaboaga huo uandishi wenu
ukiandika vizuri kwa ufasaha utapungukiwa nini

:focus: msipende kugeneralise katika maba zenu sio wanawake woooooote hawapendi kusifiana,
tupo kama mimi na Asnam na wengineo wengi ambao kusifia mashost zeti ni kawaida kwetu
 
Last edited by a moderator:
Kongosho huwa namsifia kila siku kuwa ni mkareee ile mbaya! King'asti huwa namwambia kabisa kuwa ni mcute hadi basi Kaunga huwa namsifia kila sku kuwa jishepu lake linaniacha hoi ile mbaya cacico huwa siachi kumwambia miguu yake ni bomba mno
 
Last edited by a moderator:
Huo ni utoto sasa, me mbona huwa nawasifia sana tu.
Kizuri kipe sifa yake bana
 
Mimi huwasifia wanaonizidi, mzuri mzuri tu hata umuonee wivu.
 
wadau, je ni kweli ni
vigumu kwa mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake kwamba ni mzuri wa sura,
pia inasemekana mwanamke ujisikia vibaya pale ambapo mwanamke mwengine
anaposifiwa mbele yake. je wadau hili swala ni la kweli? na kama ni
kweli ni kwasababu gani hawasifihani?

si wote, mimi huwa nawasifia sana wanawake wenzangu kama ni wazuri wa sura ha a maumbo ila kuna ndugu yangu huwa hapendi nikiwasifia mbele yake ananiambia mbona mimi huwa hunisifii.
 
si wote, mimi huwa nawasifia sana wanawake wenzangu kama ni wazuri wa sura ha a maumbo ila kuna ndugu yangu huwa hapendi nikiwasifia mbele yake ananiambia mbona mimi huwa hunisifii.

pengine ni wachache sana kama wewe wenye tabia hiyo lakini majority hawatoi sifa kwa wenzao.
 
wewe ndo yaelekea ni miongoni mwa hao wasiosifiniana uzuri mie lazima niwasifie wanawake wenzangu kama wamependeza na kama wanaboa nawaambia pia na hii imenijengea kuwa na marafiki wengi sana duniani

Back
Top Bottom