Wanawake hawapendi miaka yao ijulikane

kazi kuzarau vijana wenzako wanaokutongoza unakataa kisa ela
unakuta unagawa uroda kwa vibabu umri ukishakutupa mkono ndo mnaanza kuwa michepuko kwetu sisi mliotukataaga ..
Teh teh teh
 
Mnataka umri wa Wanawake, Kwani mnataka kuwaandikisha shule au mnataka kuwapa vyeti vya kuzaliwa!?
​
Waacheni , Wanawake waishi wapendavyo.
 
Inasikitisha sana...

Hii hutokana na sisi wanaume kuwa judge wanawake kutokana na umri wao ndiyo maana...

And women always like to look and stay young...

Kwa mwanaume ukubwa ni ufahari, kwa mwanamke ukubwa ni kama gundu...


Cc: mahondaw
 
wanataka kuolewa ila ndio hivyo wakati ukuta
 
Asanteh
Si unaona na jamaa alivyonipa za uso [emoji28][emoji28][emoji28]
Huo unaitwa ukweli mchungu na ni ngumu kumeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole ila ukweli utakuweka huru Ney!

Wewe una miaka mingapi sasa hivi?
 
Sawa neybright...
Unajua unapotaka kutoa positive reason lazima ujivike uhusika ili mtu akuelewe, ndio maana nikasema kuna mtu na mtu means sio wote, na kwakuwa watu wenyewe tunaishi nao tunajua sababu ni nini ndio maana nikavaa uhusika ila mkuu kashindwa kunielewa akaamua anipe za uso faster [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila hatimae umekuwa mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…