ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,826
Mwanzo nilikuwa najua sisi wanaume tunawalazimisha wanawake kuwaingilia bila condom lakini nimekuja kujua wenyewe hawapendi sex na condom.mtu mmejuana leoleo na bado haogopi anataka upige kavukavu kweli kwa Maisha ya Sasa unamuamini mTU na humjui eti kwa kujidanganya kwamba ladha itapungua.katika wanawake kumi Basi utakuta wawili tu wanataka uvae kondom labda na Malaya wanaojiuza