Wanawake hawapendi kutumia condom

Mwanzo nilikuwa najua sisi wanaume tunawalazimisha wanawake kuwaingilia bila condom lakini nimekuja kujua wenyewe hawapendi sex na condom.mtu mmejuana leoleo na bado haogopi anataka upige kavukavu kweli kwa Maisha ya Sasa unamuamini mTU na humjui eti kwa kujidanganya kwamba ladha itapungua.katika wanawake kumi Basi utakuta wawili tu wanataka uvae kondom labda na Malaya wanaojiuza
Nilishawahi kusema humu kwamba hakuna kitu wanawake wanachukia kama condom watu wakanijia juu, heri useme na wewe mkuu. Kiuhalisia wanawake wengi japo sio wote hawataki kabisa kusikia kitu inaitwa ndom. Katika mishe zangu zote ni mwanamke mmoja tu ambae aliwahi kukomaa ile serious kabisa kwamba bila ndom hatoi mzigo! Wengi wala hua hawaiulizii na ikitokea akaikumbuka utasikia tu "una Condom?".... ukijibu "Sina"... utasikia "ohooo.. Shauri yako.. hujui kuna magonjwa..?" Hapo kamaliza sanasana aongezee "pls usikojoe ndani" mchezo umeisha.
 
Vaa Condom Kijana, Magojwa ni Mengi, Jali afya yako kama Unapenda kavu pima na mpenzi wako tena kuna vipimo vile vya uwakika vinavyo tambua Magojwa kwa haraka sana
 
Hii ni kweli kabisa. Hadi huwa najiuliza hivi hawa wananawake ni wazima wa afya kweli? Basi ndio kawaida yao, na kwa kweli wanawake wa hivi ni majasiri sana, yaani demu hajui status ya afya yako alafu anakubali utembelee rim!
 
Mwanzo nilikuwa najua sisi wanaume tunawalazimisha wanawake kuwaingilia bila condom lakini nimekuja kujua wenyewe hawapendi sex na condom.mtu mmejuana leoleo na bado haogopi anataka upige kavukavu kweli kwa Maisha ya Sasa unamuamini mTU na humjui eti kwa kujidanganya kwamba ladha itapungua.katika wanawake kumi Basi utakuta wawili tu wanataka uvae kondom labda na Malaya wanaojiuza
Mie pia sipend ndom
 
We mtoa umepuyanga huu uzi ni mzuri kama ungetoa na ka mfano ..sasa maelezo matupu kama gazeti la sani bwana ... Binafsi nakuun mkono kwa asilimia
Maana na mm nilishawah kutana na iyo scenario katoto hakataki kbs mpira japo mm sikujuana nae siku moja
 
10 years ago kampeni za ukimwi zilikua nyingi kila mahali
Sasa ivi kama zimepungua, elimu bado inahitajika for the new generation
 
Wanawake na condom ni kama wanajilazimisha tu.

Kavu kavu wanaona ndio sahihi...

Wanaogopa mimba kuliko magonjwa
Umesema kweli. Kuna binti niliwahi kuhusiana naye enzi za ujana. Basi siku ya mchezo nikaandaa zangu pakiti moja. Bahati mbya zikaisha wakati ndio kwanza tunaanza. Nikaamua kwenda peku aisee dogo aliniambia siku nyingine nisirudie kabisa kuvaa maana kavu ni nzuri eti kuna kajoto
 
Rule 1

Sitembei kavu na mwanamke ambaye sina malengo nae,Never

Sasa nyie semeni hawapendi ndomu hlf muwape mimba mtelekeze watoto...mkiulizwa sikuwa na malengo nae
 
Back
Top Bottom