Wanawake hawapendi haya muwapo faragha

Wanawake hawapendi haya muwapo faragha

ila la muhimu tuache zinaaa my dear hakuna hata faida ujue wanaume hata ukatike kama feni hawana shukrani eti .bora tutulize papuchi hata zikiota kutu poa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so hutapenda Tena ?
 
Kivipi mama
yaani my dear mwaka huu niliweka malengo yangu flani NAMSHUKURU Mungu asilimia 98 yamefanikiwa sikuweka mapenzi kabisa kabisa . kesho inshalah nitafanya dua zangu niset plan zangu zingine tena .kuna furaha nje ya wanaume pia . sitaki kupoteza muda na mtu .
 
N vizuri kama vinaenda poa kwa upande wako na vizuri zaidi kuona Yale uliyoweka kama mikakati imefanikiwa inshallah Allah akuongoze vyema uzidi kufanikiwa zaidi na zaidi katika mipango yako na nakuombea akupe mwenza sahihi wa kuendana nawe
 
Papuchi ya mwanamke ni elastic kwa hiyo tafakari km unaweza vunja rekodi ya kushindana nae.
 
Back
Top Bottom