Wanawake hawapendi haya muwapo faragha

Wanawake hawapendi haya muwapo faragha

Wanawake wanavyojipandisha thamani humu utadhani ni wazuri!!, JF kumejaa vyanamke vikongwe vyenye avatar zinazovutia ila ni wa kawaida sana
 
Wanawake wanavyopandisha thamani humu utadhani ni wazuri!!, JF kumejaa vyanamke vikongwe vyenye avatar zinazovutia ila ni wa kawaida sana sana
kwani wanawake wa ajabu wapo wapi ? kila mtu ni wa kawaida
 
Wanawake wanavyojipandisha thamani humu utadhani ni wazuri!!, JF kumejaa vyanamke vikongwe vyenye avatar zinazovutia ila ni wa kawaida sana
halafu ukiona mwanaume anakashfa wanawake ooh sijui ni wabaya oogh blah blah yaani huyo jua ana mapungufu sana hata mwanamke alie nae ni shida pole sana .
 
Hizo ni hisia zako tu, mi sina mapungufu ila nimetoa maoni ambayo yamekugusa
 
Back
Top Bottom