Mweeh!Kwa hiyo hao kwenye picha ndo wanawake unaowatongoza?
Usije kuharibu rasilimali za mtongozo mkuu, kuna ID mbili hapo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeona mkuuUsije kuharibu rasilimali za mtongozo mkuu, kuna ID mbili hapo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mweeh!
Mpaka nimemhurumia bwana mdogo!
Hii point nimeielewa nahitaji kwenda dukani nichague za kiutu uzima.Vaa kiutu uzima mara moja moja ili wakuone ni mtu mwenye mtazamo wa kutafuta mke;zaidi ya hivyo watakuona wewe ni kicheche tu.
Vile mnashuka nae jumla jumla!Kwa nini tena?
😂😂Kabxaa mkuu!ka kupost kuna fb na insta huku n GT tu wanakuwepoKwanza huyu Anatakiwa aende kambini kwa mujibu wa sheria, anyolewe icho kiduku