Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Ngoja ajeKatoto kazuri?
Ngoja ajeKatoto kazuri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile ya mwanzo nzuri mpendwa
Tumekuona Mr handsome boy
I'd mbili mnazitumiaje mimi siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwavile ulishaizoea.
Itarudi baadaeeee.
Hamkawiagi kusema weka picha!Wacha bwana, umeamua usindikizie na kapicha!
Ila hiyo picha ya pili vishavu vimetokea kama vipulizo (balloons) vya kwenye ubarikioTumekuona Mr handsome boy
😆😆Ila hiyo picha ya pili vishavu vimetokea kama vipulizo (balloons) vya kwenye ubarikio
Huyu atakuwa msajili line za simu[emoji3][emoji3][emoji3] atakuwa bodaboda huyu nae?
Huyu atakuwa msajili line za simu
Sihitaji[emoji23][emoji23][emoji23]vipi hutaki line za buree.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamkawiagi kusema weka picha!
Kaona ashuke na nyinyi jumla jumla!
Una mashavu hayoo shida iko hapo.Katika harakati za kutokea baadh ya wanawake kuna changamoto kubwa ambayo hua nakutana nayo hasa nnapotongoza mwanamke yoyte nlobahatika kuongea nao
Mimi n mfanyabiashara na katika biashara yangu interaction kubwa nnayopata n ya wanawake kuliko wanaume....na nmejitahid saaana kuweka mahusiano hayo kibiashara tu...na si vingnevyo maana najua kitakchotokea
Changamoto niliyonayo n kuwa kila nnapotongoza mwanamke wengi hawaamini kama sina mpenz.....na hii sio kwa wanaonijua bali hata kwa wasionijua kimazingira
Kila nimwambiaye sina mtu haamini...!!nini tatzo??
1.Naonekana kitombi saana??
2.interaction yangu na girls kwenye biashara yngu ndo hua inaniponza??
Naamni hapa nitapata kufunguliwa ufaham kidogo...!
KaribuniView attachment 1105813View attachment 1105814View attachment 1105815
Ya kudownload hiyooo[emoji23][emoji23]ahjummaaaaa nakula tambi kwa supu ya mkunga muda huu, unanipunguzia concentration bwanaaa
View attachment 1105909
Ila hiyo picha ya pili vishavu vimetokea kama vipulizo (balloons) vya kwenye ubarikio