Wanawake hawajaachwa nyuma ndani vikosi vya ulinzi na usalama duniani

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
BBBB.jpg

Ukakamavu muhimu sana camp

12935099_1730085760582364_1178274036_n.jpg

Uniform kwa baadhi ya nchi ndani ya camp
 
Ila hao wa chini wamevaa hivyo ili tu kupendezesha jeshi.
Hivi na hayo magauni wanaweza wakapigana na nani?
Jaribu uone...waulize watanzania walioenda china expo miaka michache iliyopita walikuwa wanapokelewa na wadada warembo sana kuanzia airport wakuwa wamevaa magauni marefu lakini yenye mipasuo mirefu basi kuna kuna baadhi ya watz kama kawaida wakafikiri hao ni wanawake tu kama wabongo wamechukuliwa mitaani kupokea wageni kumbe wale wote ni kitengo maalum cha huko china kuhusu mambo ya usalama na ukifanya mchezo unawezo ukavuja damu nusu sekunde tu baada ya kuuliza na kupewa maonyo na wenyeji wa huko china.
 
chai......
 
Kuna MTU humu nimemjibu kama wewe.hawajui kitu waache waaendeleee kudharau
 
Hiyo picha ya chini bana. Hapo ukileta nyokonyoko unachapwa kwa mitusi asee. Kidudumtu lazima utakoma tu. :D:D:D
 
Back
Top Bottom