Wanawake hawa tunawachukuliaje ktk mahusiano?

masuala ya jando yarudishwe haraka
hii ni hatari sana
vijana wame change roles
the hunter wamekuwa 'the hunted' tena huku wanakimbia kimbia kwa woga

yani kwa kweli kazi ipo,hivi kweli kijana aliye chuo kikuu anaweza akawa hivi kweli,kuna siku madame x alisema kizazi cha wanaume vidume kimepotea watu wakamshambulia kweli madame wa watu lakini na mi naanza kuhisi yuko sawa yailahi!nakuunga mkono miguu na masikio yote jando na unyago virudi haraka sana,sasa huyu ndo akimaliza chuo tu kafanya kazi mezi kadhaa anatangaza ndoa,bado tutawalaumu mabinti kweli wanavozidi kushindwa kuplay role zao kwenye ndoa?ah!
 
ukitaka kuamini kwamba elimu ya TZ imeshuka ni mambo kama haya.
mtu wa elimu ya analeta ishu kama hi hapa.!!

Yani uwezo wake wa kufikiri umeisha kwa ishu kama hii.

PITY..sorry if im being rude.
 
Jaribu kufuatilia profile yake haraka haraka kabla ya kutoa maamuzi,wengine siyo kabisa!Lakini kuhusu kukuambia hiyo siyo ishu nauhakika wengi tu tunatokewa na wanawake iwe kwa kukuambia hivyo live au kwa kukutega,siku hizi haina kutongoza kaka karne ya 21 hii ni mwendo wa 50/50.[/QU
Nimekusoma
 
Yaani kila kitu ni JF,hata yale ambayo hayaihusu JF yanaletwa,hatufikirii siku hizi!!
 
Back
Top Bottom