Wanawake hawa hawapo location,wapo kazini reality

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
5,849
14,511
View attachment 1936988
Screenshot_20210914-101737-1.jpg
 
Kuna dada mmoja nadhani hajafikisha miaka 27 ni dereva wa basi NJOMBE - LUDEWA na ukizingatia barabara ni ya vumbi zaidi ya nusu ya safari.

Nilipandia Mlangali hadi Lusitu yeye akiwa kama dereva na konda wake mmoja ni wa kike mwingine wa kiume.
Yaani huduma safi kabisa!
 
Back
Top Bottom