Wanaume, December siyo mwezi wakufungamana na wanawake

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Wanaume December siyo mwezi wa kufungana na wanawake iwe kwanamna yeyote ile, huu siyo mwezi wa kutongoza wala wa kushika mkono na kula kimasihara shetani yupo kazini anatafuta watu wake, shetani yupo kazini epuka anasa ya wanawake huu mwezi December

Ukiweza kimbia , jifungie ndani lewa tuu wewe lewa na ukishindwa kabisa piga puchu save kibunda chako vizuri ila siyo kufungamana na hawa viumbe.

Shetani ana randa randa huku na huko kumtafuta mtu ammeze, mwisho wa mwaka mambo ni mengi kijana epuka zinaa
 
mungu wa dunia hii amepofusha fikra zako, huko kulewa, na hizo puchu zote products zake.
 
Back
Top Bottom