inahudhunisha
Kwani uwoya anaumeme ama?Hivi Kajala ameingia kwenye Grid ya taifa kama Uwoya?
Kwani uwoya anaumeme ama?
Thubutuuuu!!!! Yan konde aache kuwa serious na kazi kisa huyu malaya!!.? Sio kwel..dogo bado anapambana na kuonyesha yeye hababaiki nae wala sio mnyonge akampokonya na Range...unaleta mapenz huku watu tunataka kazi!!?Hatari na nusu.
Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi... Hivyo hivyo.
Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
View attachment 2552934
Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla. Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.
Number mbili kajala Frida.
View attachment 2552933
Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:
alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.
Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.
Nimeweka picha zao msi za iangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
Daaah we kijana mweuepe sana kwenye hii sekta.Hatari na nusu.
Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo.
Tunaanza sasa.
Namba moja Irene Uwoya.
View attachment 2552934
Hii pisi ni noma na nusu kwanza alianza na Ndikumana, ilikuwa ni ajabu yaan kifo cha mchezaji huyu nguli na jinsi wachezaji walivyo phisical fit lakini kwake haikuwa hivyo aliacha uhai ghafla.
Watu tukazani aaaha kawaida tu, mara akaja Janjaro watu tulishangaa sana. Mimi binafsi nilishtuka sana baada ya dogo kuanza kuimba nyimbo " your my banana" nikasema kimoyomoyo Yamekwisha. Yule dogo alifyonzwa vibaya mnno, full kupagawa mara akaanza kuvaa na magauni kwenye nyimbo zake. Yaani fujo tupuu, saa ivi amekondaaa anahitaji msaada wa haraka sana.
Number mbili kajala Frida.
View attachment 2552933
Weka mbali na vijana wa kiume, hii chata ni hatari hatari. Ameacha listi nyeusi sana, baadhi ya wahanga ni kama ifuatavyo:
Alianza na Godfaxa Majani alimfyonza na alivyo mwacha mwamba alipagawa sana, hakuamini kabisa hata zile touch zake kutengeneza melody kali za bongo fleva zikayeyuka, mwanadada kasepa nazo, mwamba akiangalia piano haoni tena melody bali vitufe vibonyezo tu vyeupe na vyeusi.
Mwamba wa pili sijui mengi juu yake ila nachojua akaishia JELA ... Hatari sanaa.
Mwamba wa tatu huyu wa majuzi sijui itakuwaje, HAMOO kiufupi ameyavaa kwa mwanamama, mpaka sasa harmo kabaki na bonge wa mdoa mweusi kwenye ugoko wa kulia sijui ilikuwaje, nachohofia zaidi kj kasepa na fuel nzima ya mshikaji, hivyo zile back tu back za kuachia ngoma ndo basi tenaa, inahudhunisha sana. Sasa maperfum yotee yale si ndo ukichaa. Nadharia niliyonayo ili kutokuzeeka ananyonya talenti au akili za wanaume.
Nimeweka picha zao msi za iangalie sana sio nzuri kwa afya zenu.
mwanaume unaenda kumpa mafunzo mwanaume mwenzako kwenye sekta ya umbea... daah!Daaah we kijana mweuepe sana kwenye hii sekta.
Njoo inbox nikupe mafunzo utaiva ndani ya wiki tatu tu.
Unaambiwa ule ni umeme wa three phases.Kwani uwoya anaumeme ama?
Kabaki na moja na jishangazi likavuna moja ila kafilisiwa kiuchumi na kiakili, kabaki kulialia kwamba anadhulumiwa baada ya kubaini acc inasoma negative(yaani madeni ni mengi zaidi ya kipato). Hiyo mishangazi ya town kwa dogo wa kijijini ndanindani kama yule asiyejua maisha ya town lazima yamnyonye, jimama ni mumiani linanyonya mpaka damu ndiyo maana dogo kapoteza direction.Thubutuuuu!!!! Yan konde aache kuwa serious na kazi kisa huyu malaya!!.? Sio kwel..dogo bado anapambana na kuonyesha yeye hababaiki nae wala sio mnyonge akampokonya na Range...unaleta mapenz huku watu tunataka kazi!!?
Ila tuseme ukweli huyu mwanamuke ana suraa nzinto sura ina shape gani sijui oblong janjaro hayupo sawaUnasema Janjaro kakonda anahitaji msaada? Unaijua pisi yake kweli?
Muite Queen Lina, Mzuri, amepangika kila kiungo, mpambanaji na Pesa ipo ya kutosha,
Janjaro hana stress za kivulana sasa hivi ni Mwanaume katulia.View attachment 2553719View attachment 2553720
Mpigee kadi huyo hajui, yule ni nyonya roho kabisaKabaki na moja na jishangazi likavuna moja ila kafilisiwa kiuchumi na kiakili, kabaki kulialia kwamba anadhulumiwa baada ya kubaini acc inasoma negative(yaani madeni ni mengi zaidi ya kipato). Hiyo mishangazi ya town kwa dogo wa kijijini ndanindani kama yule asiyejua maisha ya town lazima yamnyonye, jimama ni mumiani linanyonya mpaka damu ndiyo maada dogo kapoteza direction.
Isingeukuwa kunachanganyikiwa na lile nyonya damu hata label isingekufa kiboya namna ile, budget ya kuendesha label iliishia kumridhisha mama wa town.
Dogo anachofurahisha ni ile kujitutumua lakini angekuwa kazaliwa na kukulia town asingefilisiwa kifala namna ile.