Wanawake hatari wakuoa!

Mtoa mada....wewe ni mchokozi ......sasa tuoe maza hausi? Aliwazalo mjinga ndilo humkuta ..
Lazima upate ugumu kuchukua maamuzi hapa maana ukweli mchungu. Na mkeo yupo kwenye hayo makundi hapo.
 
kwani wewe ulishawahi kuwa nao wote hao hata kujua tabia zao? au hisia tu
 
Mkuu sasa mpaka hapo si huyo mwenzi wako atakuwa mama ama baba wa nyumbani tu. Kama ni mwanamke ukumbuke huwa anaenda sokoni pia
 
kwani wewe ulishawahi kuwa nao wote hao hata kujua tabia zao? au hisia tu
Sio hisia hapa ni kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya na ninazoendelea kufanya! upo ndugu? najua mkeo yupo kwenye hilo kundi hapo juu.
 
Duh! Hatari
 
Inawezekana ikawa kweli lkn kumbuka kama mwanamke uliyenae anatabia hizo hata kama atakaa nyumbani asiende semina au kazini basi kuna mtaani wanaume watamtafuna tu... Mtu mzima hachungwi. Ndio maana tukashauriwa kabla ya kuoa tuangalie tabia ya unayetaka kumuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…