God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
....
Ila kuna uafadhali mkuuu, maeneo mengine ni hatari mno.Mwanamke yeyote ni hatari kuwa naye kama hujiamini.
Ila kuna uafadhali mkuuu, maeneo mengine ni hatari mno.
Walimu bado ni kimbilio la wengi wanaohitaji familia na mke bora!
Mke mwema atoka kwa bwana....haijalishi Ni nes,mwanasiasa, au rubani.
Nami nilikua na wazo kama lako lakini awe mwalimu wa vidudu, shule ya msingi na mwisho sekondari. asiwe lecturerMwalimu ndio material salama.
Hizo material nyingine si salama japo si zote