Wanawake, hasa wa Sinza na Kijitonyama mnaaibisha

MWANAUME NI NANI?
Mwanaume ni yule anaye tangulia kwa hotelini na kumwambia mhudumu nikija na mabinti hapa sema kuna chai ya rangi na maandaz ya unga mweusi na maji ya udzungwa tu
Watu Mna akili sana hili la kufanyia kazi
 
Mm mwaka juzi ilinikuta hiyo mambo ya kifala,niko maeneo ya tabata kuna pub moja siikumbuki jina,nikamtxt mpenzi wangu kuwa aje pande hizo,baada ya nusu saa akafika wakiwa watatu ,wamefika nikaanza tambulishwa kuwa ni marafiki zake,wakaagiza chakula kila mmoja wakala,kabla ya sijalipa chakula wakaita mhudumu wa vinywaji mmoja akawa akaagiza red bull na mwingine akaagiza win dock, bahati nzuri niliyoipata ni kuwa tulihudumiwa kwa bill,baada ya kupiga hesabu na ule mwendo wa unywaji nikagundua wanataka wanikomoe,basi niliacha mezani mfuko wa smart phone yangu nikaelekea uani nikakuta kuna njia ya kutoka nikatokomea ,nikaenda kiwanja kingine nikapiga safari zangu mbili nikaenda kulala,ila dk 10 tu baada ya kutoka simu ziliingia kama mvua,nikamtext kuwa nimeenda kupumzika ila vinywaji vyangu nimelipa hivyo kila mtu alipe alichotumia,,
Sipendagi ujinga mm
 
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa muonekano tu ni mtu wa Castle tena Lager au Maji ya Uhai.

Unajuaje huyu Lover ametembea na Shs ngapi mfukoni kumletea migumegume yote hiyo kumchuna? Matokeo yake ukishamegwa mwanaume hata cimu hapokei tena kwa Mis behaviuor zenu.Hii nimeishuhudia kwa macho yangu jana Maeneo ya Pub moja Sinza Kumekucha mkaka wa watu ikabidi aangaike sana tu kupiga simu kwa wenzake wammtumie M PESA nadhani alifanikiwa coz after round ya tatu aliitisha bill akalipa wakatokomea.

Madada wa Sinza/Kijitonyama muwe na staha kidogo mtaishiwa kumegwa tu kwa tamaa zenu za fisi.BADILIKENI
Ukiona wamekuja hivo basi hata hao wenzake wakipataga ofa wanaitana hivoivo,kwahiyo unapomwambia mrembo mkutane sehemu kama hizo jipange kama ndio siku ya kwanza maana hujui atakujaje,peke ake au na wafilisi wenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila magacha nawe uwe unauliza wenyeji sio umetoka kuuza ng'ombe huko kwenu magu unavamia wadada wa dar na hivyo unavyoonekana hata lafudhi yako ni ya kisukuma
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
😂😂😂😂😂😂
Safi sana.
 
Pole sana, hukupata mrejesho huko vipi hawakuvuliwa mawigi yao au simu au hata viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama nawaona hao madada walivyo pauka nyuso zao, tena huko tabata hawachelewi kukusingizia kuwa ana mimba yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm mwaka juzi ilinikuta hiyo mambo ya kifala,niko maeneo ya tabata kuna pub moja siikumbuki jina,nikamtxt mpenzi wangu kuwa aje pande hizo,baada ya nusu saa akafika wakiwa watatu ,wamefika nikaanza tambulishwa kuwa ni marafiki zake,wakaagiza chakula kila mmoja wakala,kabla ya sijalipa chakula wakaita mhudumu wa vinywaji mmoja akawa akaagiza red bull na mwingine akaagiza win dock, bahati nzuri niliyoipata ni kuwa tulihudumiwa kwa bill,baada ya kupiga hesabu na ule mwendo wa unywaji nikagundua wanataka wanikomoe,basi niliacha mezani mfuko wa smart phone yangu nikaelekea uani nikakuta kuna njia ya kutoka nikatokomea ,nikaenda kiwanja kingine nikapiga safari zangu mbili nikaenda kulala,ila dk 10 tu baada ya kutoka simu ziliingia kama mvua,nikamtext kuwa nimeenda kupumzika ila vinywaji vyangu nimelipa hivyo kila mtu alipe alichotumia,,
Sipendagi ujinga mm
 
Dah....yaani visavanna viwili na karedbul kamoja ndiyo unalalamika hivi? Hujaona Kama hiyo Ni fursa ya "kubadilisha mboga" wakati ujao ?.... Wengine tukikaa tumezunguzwa na "maua" mengi tunajisikia POA sana...Kweli wanaume tuko tofauti...Dah [emoji1787][emoji1787][emoji41]
 
Pole sana, hukupata mrejesho huko vipi hawakuvuliwa mawigi yao au simu au hata viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama nawaona hao madada walivyo pauka nyuso zao, tena huko tabata hawachelewi kukusingizia kuwa ana mimba yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu niliombwa nisaidie wakomboe simu walioacha kama bondi,ila nikamwambia sijafikia hatua ya kuhudumia watu nisiowajua,nikamrushia elfu ishirini alipe yake na rafiki zake kila mtu alipe yake
 
Pole sana, siku nyingine wajifunze, hata huyo wakwako naye huwa anabebwa hivyo hivyo, ukiona hivyo ni kawaida yao kubebana
 
Kweli mkuu,ila alipata somo maana baada ya hasira kumshuka kama week mbili ama tatu hivi nilimwita na alikuja peke yake,nikampooza na maneno matamu then nikaenda kufidia pesa yangu kwa kumgegeda kisha kila mtu akaendelea na maisha yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] elf 20 yako daa kazi sana atakuwa kapata somo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom