King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,190
Dawa yao ni mkuyati tu siku ya mechi.
Haaaa haaa kama nakuona vile unavyokimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu naona wikend ilikuendea vibaya baada ya bibie kuja na kikosi kazi.
Pole sana ndo tumeumbiwa wanaume hivyo.
Mi nkiona hivyo hua siagi natoka kama napiga simu natokomea kusikojulikana.
Haya maisha inabid uwe tactical vinginevyo unaweza kosa hata kodi ya pangoHaaaa haaa kama nakuona vile unavyokimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wengi wao ni wale wenye mambo ya kiswahili swahili walishazoea kuchangia hata nguo za kuvaaHaya maisha inabid uwe tactical vinginevyo unaweza kosa hata kodi ya pango
[emoji3] [emoji3]Mkuu naona wikend ilikuendea vibaya baada ya bibie kuja na kikosi kazi.
Pole sana ndo tumeumbiwa wanaume hivyo.
Mi nkiona hivyo hua siagi natoka kama napiga simu natokomea kusikojulikana.
Dah!!!noma sanaHuyo dawa yake kwenye kumla mzigo nawe unaalika na marafiki zako
Malipo ni hapa hapa duniani