Wanawake, hasa wa Sinza na Kijitonyama mnaaibisha

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa muonekano tu ni mtu wa Castle tena Lager au Maji ya Uhai.

Unajuaje huyu Lover ametembea na Shs ngapi mfukoni kumletea migumegume yote hiyo kumchuna? Matokeo yake ukishamegwa mwanaume hata cimu hapokei tena kwa Mis behaviuor zenu.Hii nimeishuhudia kwa macho yangu jana Maeneo ya Pub moja Sinza Kumekucha mkaka wa watu ikabidi aangaike sana tu kupiga simu kwa wenzake wammtumie M PESA nadhani alifanikiwa coz after round ya tatu aliitisha bill akalipa wakatokomea.

Madada wa Sinza/Kijitonyama muwe na staha kidogo mtaishiwa kumegwa tu kwa tamaa zenu za fisi.BADILIKENI
 
Umemtongoza mtoke out au mkale sukari?

Akikukubalia nyooka Naye geto

Ukitaka Wa kutoka Naye viwanja owa make

Toka na wife
 
Siku ya kwanza tu kukutana na mtu unaweza kujua kabisa kuwa ni mtu kwa kujenga familia au laah, hivyo nidhamu katika matumizi ni jambo la kuzingatia
 
Haaa haaa kazi kweli waangalige na wanawake unakuta binti mkorogo usoni pyee unategemea
nini pole yake nawe MAGACHA ndiyo ujifunze hapo [emoji2] [emoji2]
 
Mwanamke mwenye akili na anajua pesa inatafutwa vipi hawezi kukufanyia hivyo. Pole yake jamaa, alikutana na watu walioshindikana mjini, hawana kazi za kufanya.
 
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa muonekano tu ni mtu wa Castle tena Lager au Maji ya Uhai.

Unajuaje huyu Lover ametembea na Shs ngapi mfukoni kumletea migumegume yote hiyo kumchuna? Matokeo yake ukishamegwa mwanaume hata cimu hapokei tena kwa Mis behaviuor zenu.Hii nimeishuhudia kwa macho yangu jana Maeneo ya Pub moja Sinza Kumekucha mkaka wa watu ikabidi aangaike sana tu kupiga simu kwa wenzake wammtumie M PESA nadhani alifanikiwa coz after round ya tatu aliitisha bill akalipa wakatokomea.

Madada wa Sinza/Kijitonyama muwe na staha kidogo mtaishiwa kumegwa tu kwa tamaa zenu za fisi.BADILIKENI
Ila magacha nawe uwe unauliza wenyeji sio umetoka kuuza ng'ombe huko kwenu magu unavamia wadada wa dar na hivyo unavyoonekana hata lafudhi yako ni ya kisukuma
 
Mkuu najua yanayoendelea
 
hapo anawapa wenzake chance ya kudanga. Nayeye humbeba kwenye mitoko yao.
Hapo ile anafika tu na group lake naye anagaili kukaa pale na kumwambia wakutane siku nyingine
kwanini ufe na tai shingoni wakati uwezo wa kuivua upo
 
Dawa yao unammega kwanza yeye halafu unaanza kuwafukuzia rafiki zake unakula mmoja baada ya mwingine mpaka ajue kwamba hata rafiki zake alokuja nao pia umewapitia.​
 
Ila magacha nawe uwe unauliza wenyeji sio umetoka kuuza ng'ombe huko kwenu magu unavamia wadada wa dar na hivyo unavyoonekana hata lafudhi yako ni ya kisukuma
Haaaa haaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wadinaaaa wamayoooo
 
Mkuu naona wikend ilikuendea vibaya baada ya bibie kuja na kikosi kazi.
Pole sana ndo tumeumbiwa wanaume hivyo.
Mi nkiona hivyo hua siagi natoka kama napiga simu natokomea kusikojulikana.
Hahahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom