Kwani Condom inazuia ukimwi?
95%......
Habari wana MMU
Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni la kusikitisha sana sijui ndiyo wanakolea hadi kupoteza fahamu ama vipi.
Usiseme nakutana na malaya, hapana.
Ni watu wenye staha na afya njema kabisa lakini sijui kwanini suala la kutumia kinga hawalipi kipaumbele.
Kumbuka ni baadhi ya wanawake wanafanya hivi na ni wengi mno.
Sija attack mtu, hapa tujadiliane.
Na hayo maneno
Mie nipo serious bwana
Kweli kbs watu hawajawai kugusa engine yako toka imeingia duniani?
Hahahaha kwani ndo thread inavyosema hivyo?
Aknowledge source?
Hahahaha ww si umesema hayo mambo hujaanza basi nkajua gari yako watu hawajabadili hata oil filter...
big nooooooo! when it comes to kuduu.....masihara kapuni......
Haya basi yaishe
Basi tujaribu nasisi
Tujaribu nini?
Unamaanisha hukazani bila cndm?
yeah kwakweli from nowhere tu nimwamini mtu...... hapana it takes time.