Wanawake hamuogopi maradhi?

Wanawake hamuogopi maradhi?

Kwani kwa wakati huo mwanaume maisha yake hayapo rehani?Au mwanaume huwa hajali maisha yake?

Yapo hatarini kama ilivyo kwa mwanamke...

Lakini sijui kama ushawahi kuhudhuria semina za magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi...

Kama utakuwa ushawahi kufika huko, utakubaliana nami kuwa wale wakufunzi mara nyingi huamasisha wanawake ndio wawe mstari wa mbele kuhakikisha 'patna' kavaa soksi...

Tena huwa kunakuwa na toys za maumbile ya kiume na hufundisha hatua hadi hatua ya namna ya kumvisha mwanaume kondomu kwenye ubo.o uliodinda...
 
Nimetamani kuhudhuria siku moja hiyo semina nipate experience......lol.By the way hicho kitu yatupasa wote kukumbushana kama kweli tunapenda afya zetu
 
Habari wana MMU

Kwa uzoefu wangu katika suala zima la mahusiano linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa/mapenzi mwaname ndiye anayeachiwa afanye maamuzi ya kutumia kinga ama la, hili suala ni la kusikitisha sana sijui ndiyo wanakolea hadi kupoteza fahamu ama vipi.

Usiseme nakutana na malaya, hapana.

Ni watu wenye staha na afya njema kabisa lakini sijui kwanini suala la kutumia kinga hawalipi kipaumbele.

Kumbuka ni baadhi ya wanawake wanafanya hivi na ni wengi mno.

Sija attack mtu, hapa tujadiliane.

Mleta mada umeongea ukweli mtupu....I have been watching this for a very very long time!!!!! Kwenye kushiriki ngono mwanaume ana maamuzi makubwa mno wakati mwanamke anabakia kuwa mpokeaji wa maamuzi ya mwanaume kwenye kutumia au kutokutumia condom....so wanaume wakiamua kwa dhati maambukizi mapya ya ukimwi yatapungua sana tena sana....UKWELI NI KWAMBA RISK YA MWANAMKE KUWA NA MCHEPUKO NJE YA NDOA NA KULETA UKIMWI NYUMBANI NI KUBWA SANA TENA SANA AS COMPARED NA RISK YA MWANAUME KUWA NA MCHEPUKO NJE YA NDOA.....Sina nia ya kuwasema vibaya kina mama ila ukweli ndio huo
 
Mimi matumizi ya cndm kwangu huwa ni zero kbs...sasa huyo mwanamke ataanza wapi kuniambia nivae

Mambo yenyewe tunayofanya hata ukivaa cndm haisaidii kbs.
 
ukifanya ngono bila kuvaa ule mfuko mnaoita kondomu, kwanza unapata raha zaidi na zaidi, pili una imarisha kinga ya mwili.
 
Ni kujielewa tu

Mwanamke akiamua no mgegedo mpaka kondom ivaliwe itavaliwa tu

Akijifanya ni kiumbe dhaifu atagongwa kavu
 
Back
Top Bottom