Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.
Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.
Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.