Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.
Sasa inakwenda hivyo mpaka mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena.
Cha ajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba.
Sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?