Wanawake bwana sijui wana matatizo gani?

Wanawake bwana sijui wana matatizo gani?

"Subira yangu ndio iloniponza,,,, ngoja ngoja naonekana mjinga,,,,,,, kwasababu nilimpenda kweli,,,,, kwasababu nilimpenda kweeeeeli. """"'..

Mapenzi hayaelewekagi
 
Wewe unajuaje kama huyo mwanaume anampenda kweli? Kwahiyo huyo dada atakubali wangapi kisa wamemwambia wanampenda?
Kwasababu yule dada alivyoona tayar kapewa mimba alianza ku kuonyesha love kwa yule jamaa aliyemzingua
 
Kwasababu yule dada alivyoona tayar kapewa mimba alianza ku kuonyesha love kwa yule jamaa aliyemzingua
Huyo nae hajielewi ina maana anarudi kutafuta huruma lkn kikawaida si rahisi kuwa na mtu kwa sababu tu kaonesha upendo, tunakuwa na watu tunaowapenda pia mambo yakibuma basi. Kuishi na mtu humpendi ni kazi mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuonyesha mwanamke ya kwamba unampenda sanaaaaaaaa mara nyingi ndo unamkimbiza, kule kujitoa kwako anahisi humstahili

Wale wanaume wasiompa sana hiyo attention unayompa wewe ndo wanamvutia, kule kumu-ignore anahisi hamstahili huyo mwanaume


Kuhusu dem kumng'ang'ania mtu haeleweki unakuta Kitandan dem anachalazwa haswaaa, anapetiwa lakini ndo Kila mda anapigwa matukio, hiyo hali ya kushindwa kum-control ndo anahisi yeye anamuitaji sana jamaa kuliko jamaa anavomuhitaji dem, sasa hizi episodes za furaha na huzuni zinamfanya mwanamke kuwa alive nakuendelea tu kumpendaa huyo jamaa

Ndo ile unakuta mwanamke unamnyenyekea mpaka anaanza kuona unaboa, hata kukukamata sms ya dem mwingne hakuna?

Tunarud kule kule Kwa bad boys na nice guys
 
Kisa kingine kuna dem alikuwa anaonyesha kabisa dalili za kumpenda jamaa mala amkonyeze, amuangalie....jamaa si akaanza kupanga mikakati ya kumtongoza dem....yaani huwezi amini jamaa alikataliwa ..tena kwa matusi ya nguonijamaa alishangaa sana et...
 
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu anazingua, nyodo nyingi na kumuona mshkaji kama lofa flani hivi na unakuta mwamba anaeleweka tu.

Sasa inakwenda hivyo mpaka mwamba unakuta anakata tamaa na kuacha kabisa kufatilia tena.

Cha ajabu sasa huyo dem ukimfatilia utakuta mtu anaye sumbuka nae hana hata mpngo nae lijamaa unakuta kwanza halina kipato na matokeo yke anapewa mimba halafu lijamaa linakataa hiyo mimba.

Sasa swali langu ni kwamba inamana mdem huwa hawajui mwanaume anaye mpenda au wana amua tu kujitoa ufahamu?
Huwezi elewa mapenzi ni Nini kama unadhania hela zako ama kipato chako ndo hisia za mwanamke! pole kwa ukataliwa mkuu
 
Kisa kingine kuna dem alikuwa anaonyesha kabisa dalili za kumpenda jamaa mala amkonyeze, amuangalie....jamaa si akaanza kupanga mikakati ya kumtongoza dem....yaani huwezi amini jamaa alikataliwa ..tena kwa matusi ya nguonijamaa alishangaa sana et...
mambo yetu mtuache nayo wenyewe. Sasa mtu kukonyezwa tu tayari kajua anapendwa,pole yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom