Wanawake bwana...aisee

Wanawake bwana...aisee

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
707
Aise, leo kwa mara ya kwanza nimepanda zile chatter vindege hataari sana vile vidogo vidogo unahisi kama vinaweza rushwa na upepo...anyway nilikwenda Zanzibar nafuatilia mishe flani tunafanya na washkaji zangu watatu sasa wakaniomba niwape lifti wake zao kwani na wao wanaenda kujirusha Zanzibar me nkasema poa maana hao washkaji ni wa kitambo kinoma... basi hao wadada wameingia kwenye ndege wanaringa kama nini hata kunisalimu hawajanisalimu sasa kaka enu mie sio muongeaji nkawa nawacheki tu hao wake za jamaa zangu..wako watatu wakainga wakaanza kupiga mapicha njia nzima wanatambiana kila mmoja anamuambia mwenzake mmewe ndo kakodi ndege afu wakaanza kutambiana bwana. yani wanatambiana hadi me nkashtuka, mara me mume wangu ana apartment dubai me ananinunulia Rover range mwingine wana shamba la miti hectare 1 yani ni mvurugano humo ndani tulivofika zhenj hata sikuangalia nyuma nikamshkuru rubani nkaenda zangu...hivi kwanini wanawake mnapenda kudanganyana kuhusu waume zenu? yani hao washkaji zangu nawajua pika pakua hawana ata chembe ya hivo vito hao wadada wanavovitaja kibaya zaidi hawajui me nawajui waume zao wote watatu
 
Sawa mkuu.. PM itafurika soon, unakodi charter enzi za Magu
 
mkuu mbona unawaumbua wake zetu bana?
 
Kama siyo waume zao waliokodi, nani aliikodi hiyo ndege mkuu?
 
We subiri invoice dadeki hili tangazo kubwa sana
 
Mkuu we noma,kwa hiyo mpaka znz hukuongea nao!!! We jamaa kauzu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom