Wanawake botswana kurithi mali

Wanawake botswana kurithi mali

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Wanawake wa Botswana kurithi mali.... Mahakama nchini Botswana imeweka historia kwa kuwaruhusu
wanawake kurithi chini ya sheria za kitamaduni na kukataa
utamaduni wa wanaume kuwa warithi wa pekee. MAJAJI WASEMA UTAMADUNI UNAOWAPENDELEA WANAUME
UMEPITWA NA WAKATI......NADHANI MAJAJI WALIKUWA
SASHIHI ...MAANA WANAUME WANAPENDELEWA SANA NA
TAMADUNI ZA JADI.......NINI MAONI YAKO?
 
warithi tu si ndo kazi wanayoweza..hawawezi kutafuta za kwao mpaka warithishwe.
 
Back
Top Bottom