Wanawake bana, Eti "I want a Real Man"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Wanawake wa siku izi bana, unakuta mtu anakomaa kweli kusema anataka a Really Man While Yeye mwenyewe;

Makalio feki.
Macho feki.
Rangi ya ngozi feki.
Kucha feki.
Nywele feki.

Huyu Really Man unampataje? Jichunguze kwanza if wewe upo really ndipo u demand a Real man.
 
Wenyewe wapo njiani haooo wanakuja subiri majibu yako.
 
Hivi mwaka huu krismas ipo siku gani vile..??
 
halafu inapendeza sana hiyo a Really Man uitamke ukiwa umeibana pua kwa nguvu sana huku ukiyumbisha kiuno
 
Nasie Tutafte Wanawake Wakiaje Ikiwa Wote Wanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…