Wanawake badilisheni maswali!

Wanawake badilisheni maswali!

Sasa mbona Mada hainamshiko sasa ukishatongoza unataka awe bubu, si anakuliza maswali ambayo mwisho wa cku yatajenga future yenu, acheni kila cku kudiscus wanawake weken Mada zenye mshiko
Yeye peke yake future yake imemshinda ataweza mkiwa wawili
 
na pia sisi wanaume tubadilishe maneno
  • Nimetokea kukupenda.
  • Ninakuzimia kweliiii tena
  • ....................
 
Kama kuna mwanamke humu hajawahi uliza 'Hivi huna mke kweli au huna mpenzi kweli" anyooshe madole.
 
Hao watakua wa enzi yako wewe, wasikuizi wanauliza "Unafanya kazi wapi? Unagari? Unamepanga au unaishi kwako AU Kwenu? eti unanipenda? Khaaa akupenda mwanao? hayo ya zamani Mkuu...lol
 
au nmekubali ila usitangaze...kwa wale wa vijijini
hahaaaaaaaaaa
 
Tangu mwaka 1980 wanawake hawajabadilisha maswali pindi wanapotongozwa.

Swali la kwanza wanauliza "HIVI WANAWAKE WOOOTE HUJAWAONA MPAKA UJE KWANGU?"

Swali la pili wanauliza "NITAAMINI VIPI KAMA UNANIPENDA?"
Swali la tatu wanauliza "KIPI HASA KIMEFANYA UNIPENDE?"

Acheni hizo nyinyi badilisheni maswali wanaume tumekalili.
maswali ya wanawake wa zamani siku hizi anakuuliza unafanya kazi gani ukisema kazi yakuunga unga anakulima hapo hapo
 
Hivi.....
Hao wanawake wa hivyo bado wapo kweli..
Labda unawazungumzia wasichana aiseeee.... sitaki kuamini kama hao unao wasema ni wanawake
Ni watoto wa kike std 6 mpaka form 2 na wasichana wa form 3 na form iv ndo anaozungumzia.
 
Sasa mbona Mada hainamshiko sasa ukishatongoza unataka awe bubu, si anakuliza maswali ambayo mwisho wa cku yatajenga future yenu, acheni kila cku kudiscus wanawake weken Mada zenye mshiko
Future mnajengajee kwa kukuulza ukuona wte ukaja kwangu...
 
Back
Top Bottom