devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 372
Nia huwa si kuuwa, bali kurekebisha.. Lakini kwa maneno ya kashfa ya wanawake walio wengi, hupelekea mauwaji yasiyokusudiwa kutokeaKujitafutia kesi ya mauaji bure..kama mke alikuwa mjeuri alishindwa kutumia emotional tocha kumshikisha adabu au kumfungisha kidomodomo!!
Umeona madhara yake sasa.
Nia huwa si kuuwa, bali kurekebisha.. Lakini kwa maneno ya kashfa ya wanawake walio wengi, hupelekea mauwaji yasiyokusudiwa kutokea
Hasara kubwa ni kwa mwanamke aliyekwishafariki.Hasara kwa nani?
Ukishindwa kuelewana na mwenza wako ni heri mkaachana kwa amani
Samahani mkuu huyo marehemu ndio huyu alikuwa katoka kujifungua na alikaa sana huku mbeya kwa mama mkwe wake? Na alifanya kosa ganiWanawake wana jeuri na dharau sana ..wana maneno ya shombo hata shetan anasubiri sanaa...kuna jamaa hapa pot kamtwanga mkewe hadi kadead juz hapa dar... Mwanamke jeuri sana ..pot wa watu kaamua kumtia makonde hadi kampeleka jehanum....wanawake BADILIKENI kama hamtaki ndoa semeni sio kuleta jeuri na madharau.
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Nadhani hujanielewa. By the way, WOTE MJADALA TUMEUKITA KWENYE MATOKEO BADALA YA SOURCE. Mtoa mada katahadhatisha... Sasa kama unaona kupigwa si sawa ila maneno ya kunya ni sawa, endelea..!!Huwezi kurekebisha kwa kupiga haipo dunia yote kwanza aliekudanganya kumpiga mwanamke ndio kumbadili nae alikudaganya
Kama amekuwa king'ang'a?Ukishindwa kuelewana na mwenza wako ni heri mkaachana kwa amani
Na kwa jinsi walivyo, ukirudi utakutana na maneno ya shombo kisa umelewa..!!! Maneno ya shombo huku umelewa ni rahisi sana kumfyatua mtu mtamaI always walk away for a while, naenda bugia maji ya kutosha...nikirudi nalala!
Ukianza kurusha makonde unajitafutia jela wakati maisha matam kama nini yani.
Njia sahihi zipo kwa hao ving'ang'aKama amekuwa king'ang'a?
Njia sahihi zipo kwa hao ving'ang'a
Oa wake zaidi ya mmoja..ukiona msumbufu oa mitalaTushauriane basi ili kuepuka kupiga mpaka kuuwa