Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Kuna Demu nlikua nae,..kaka yake alikua na michezo ya kishoga..daily ananilazimisha nimkae..jamaa yupo vizuri kiuchumi but sikua na mzuka na ushenzi ule..siku moja my galfrend simu yake ilikua mbovu nkampa my iPhone 5s and ile simu ukitumia vitu vinajisevu kwenye icloud...demu kunirudishia simu nkakuta usaliti wake ,ushenzi wake wote..kulipa kisasi nkamuita kaka yake..ni gay hata family yao inajua nkamwambia nimekubali kumla choo.akafurahi sna tukapanga appointment nkakutana nae..hotel room nkamueka mikao kama Nambandua huku narecord..yupo naked nipo nimevaa Calvin Klein boxer..jamaa anataka dushe,nkazuga nkamtoroka bila Kula mzigo..then zile pics na video clips nkamtumia dada yake..haha haha haha kilichotokea..anyway jioni njema
Ndo fantasy yako iyo?
So gayish!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Ahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni
IMG_1535829330381.jpg

Daaah,hii nimecheka sana yan
 
Me naona mashoga ni watu ambao tunatakiwa tujifunze namna ya kushi nao ktk jamii zetu,kwa sababu kwenye jamaa zetu kuna watu hatari zaidi ya hao mashoga,tatzo kubwa la shoga ni iyo homosexual basi hana madhara mengine zaidi ya hayo,

Rushwa,ujambazi,ubinafsi haya ndio matazo yanayoirudisha nyuma jamii

Mashoga wapo na huzaliwa ivyo wengine sasa kuwachukia inasaidia nini ni kujifunza tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao ktk jamij zetu

Simaanishi naunga mkono ivyo vitendo lahasha lakini uwepo wao ktk jamii zetu hauepukiki tujifunze tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao
 
Back
Top Bottom