Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,126
3,022
Habari Wadau,

Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.

Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh!

We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba kama unaona aibu kumwambia hapo hapo wanaume tuna mambo mengi sana.
 
Habar eadau

Hii mila ua eanaume kuwatongoza wamawake imepitwa ma wakar

yaan unakuta mdada anakufuata bra bra kibao mara simu yngu imasumbua norekebishie mara nimekufananisha mara hv mara vile adi mwanaume ajiongeze mmmh

we ukiona mkaka umempenda mfuate mueleze ukwel muombe namba km unaona aibu kumwambia apo apo wanaume tuna mambo meng sn mow days
namuunga mkono kwa hoja hii
 
Ukitongozwa utakubali [/QUOTE
Habari Wadau,

Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.

Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh!

We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba kama unaona aibu kumwambia hapo hapo wanaume tuna mambo mengi sana.
akinitongoza ntakubali kimoyomoyo ila sintamwambia hapohapo ntamwambia nipe mda nimfikirie ombi lake halafu baada ya mda ntamwambia nimeishiwa na kodi ya chumba miezi sita inatakiwa na jiko gesi limekata nifanyie mpango my wangu
 
Kutongozwa huwa ipo Sana Mwanamke anakuambia anakupenda anataka mfanye maisha

Ila hii huwapata wanaume ambao wameamua kujiweka wao mbele kwanza na sio kuwaweka wanawake mbele.

Ukiwa MTU wa kuwaweka wanawake mbele basi utakuwa unafatwa na low value women ,rejected, dumped n.k

Set standard don't be cheap
 
Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom