Wanawake anueni nguo

[emoji125] [emoji125] [emoji125] hee ila aina nyingine za urundikaji sio kabisa zinazagaa ovyo
sio uchafu bna mi mwenyewe nina kikapu changu natupia humo nafua jpili zoote.sifui chupi zangu na sabuni ya kuogea mie
 
Hapo sasa na unakuta ni jobless au anauza duka tu anakua mvivu je angekua na ajira za serikalin au sekta binafsi sijui ingekuwaje
ahahaaa dah kuna wamama sijui majukumu yao humo ndani ni kugegedwa tu ?
 
Mkuu mashine kwa uchumi gani walionao. Kama tu miss natafuta kawashuhudia jua wanaishi nyumba isiyo na fensi
weee tuna fensi bwana hata mashine ipo ila jirani hana .hata hivo mashine yangu haikaushi inafua,inasuuza inakamua basi
 
Aiseee yaan unamfaidi jiran,ningekua mie ndo jiran ningeweka fensi kali mno
weee tuna fensi bwana hata mashine ipo ila jirani hana .hata hivo mashine yangu haikaushi inafua,inasuuza inakamua basi
 
Umenena kuna wanawake wengine pasua kichwa hawajitambui hata kidogo na ndo maana hawakawii kuachika ndani ya nyumba.Huyo mzee anamoyo sana ningekua mimi,ningekua mimi,mimi---------.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…