Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
- Thread starter
-
- #21
kingi uko juu ya mstari au lugha ya kigeni wasema on point!
una sayansi nzima ya erotic stimuli zilizoko kwenye miguu hasa nyayo.................na kuna sehem za miguuni ukifanyiwa massage unaweza kufika kileleni.
nitarudi baadae na link but sidhani kama yupo anaetaka mkewe awe anafikishwa na mpaka rangi ....😀
Well said. Na kwa nini mpaka waoshwe miguu? Hawajui kunawa? Hii yote ni uvivu ama tuseme ndo nini? Tufike mahali tuone staha ya mwanamke iko wapi? Kwanza mwanamke ajishughulishe na kazi zinazomhusu kama kujisafi mwenyewe. Itafikia mahali akina dada zetu wataka kusuguliwa mgongo na vijana watakaojitokeza sasa maana ndiko tuelekeako. Walianza kupaka kucha rangi, sasa wanasugua miguu, watapanda hadi magotini kisha mapajani wataendelea kupanda hadi wafikie kunako ikuklu then what next. Ugusaji na upapasaji wa kila mtu unatofautiana toka mtu hadi mwingine. Kuna mtu unaweza kumpa mkono tu ile kushikana tu utafikiri umepigwa na radi. Unaweza ukawa unatamani arudie tena na tena ili uhisi mkono wake. Kuna dada mmoja alitamani kucha zangu tu! Kila akiniona alikuwa anaugeuza mkono wangu aone tu kucha zangu. Mwanzo sikujua ila siku moja alinambia waziwazi "KAMA ANGEPATA BWANA MWENYE KUCHA KA ZANGU AMZALISHE MTOTO MWENYE KUCHA KA ZANGU ANGEFURAHI SANA" kama ningemwambia twende nikakupe mtoto angekataa? Sasa inapotokea mpaka rangi a.k.a msugua miguu akakutana na mteja anayetaka aina hiyo ya mguso, mi nasema utakuta kila siku anatamani aguswe mwisho wa siku atagusa vya watu. Kuweni na staha za miili yenu. Mwili wa mwanamke unahitaji staha kubwa sana! Wazazi wetu walilijua hilo sana. Hata wakiwekwa hapo wakike na wa kiume waachwe uchi wa kwanza kufunikwa wa kike. Wa kiume hana shida! Kengele nje nje!
jf shule ya nguvu, ukweli ulio wazi katika ndoa ya zaidi ya mwaka mmoja watu (mtu na mkewe) wanakuwa wamezoeana sana hasa katika mambo ya mapenzi, kwa hiyo mara nyingi watu wanakamuana bila maandalizi ya kutosha, labda kwa atakayejitahidi atakula denda kidogo na kisha chakula ya mtoto kidogo, mara mtu anapanda juu na mwisho mchezo umeisha, sasa hunakuta wanandoa wote wanakuwa hawajatimiziwa haja zao hasa, sasa inapokuja point ya kuanza kukandwa na kusuguliwa miguu mpaka hapo nyuma ya goti + kusuguliwa njayo ni ukweli usiopingika kama mwanamke ametulia na anafatisha kweli upapapaswaji ni lazima ataingia majaribuni tu
kama ni kupakwa rangi tu, hapo sioni tatizo lakini kusuguliwa miguu? nononono
:shock:unayosema si mzaha ,ni jambo la kufanyiwa angalizo
mnh watu wanatangaza biashara zao tu kuwa wanaweza offer orgasmic message,
siamini hili jambo mpaka mtu anifanyie :A S shade:
Naona mmesahau kidogo hii kitu mliyosoma mkiwa form one
(characteristics of living things) ya kwamba "they respond to
stimuli" . Mfano mmea hufuata mwanga, au nikiwa na minya
ndimu na wewe ulo karibu udenda lazima utakutoka. Hii
hutokea kwasababu viumbe hu-respond to stimuli.
Huwezi kusema unamsimamo mkali ukashindana na biology.
Katika mazingira sahihi (right conditions) kama utashikwa
shikwa vizuri (tarrr tiiib) kwa kisingizio cha kazi ya kupakwa
rangi (feeling innocent) you'll lower your guards down.
Utaanza kujiseme kimoyo moyo, "lakini hii ni profession yake"
lakini baada ya muda mwili wako utaanza ku respond, (you
know temp rising, lil tinglin', gettin' w*t). Hapo utaendelea ku
justify kwamba "lakini hakuna anaye niona" n.k.
kinesthetic touching and kinesthetic descriptive words are
very powerful b'cause they affect us on a neurological level
(out of your control).
Usijecheza kabisa na neurology yako hata siku moja. Mfano
watu wakiwa "interrogated" huwa wanakiri kosa bila kujua
kwasababu wanakuwa wamechezewa kiakili (mind fu**ed).
Wanatumia vitu kama modelling, presupposition, rapport,
outcome na feedback kuteka akili ya subject.
Kwahiyo cha muhimu ni kuwa mbali na vishawishi, usije jikuta
asali kidogo inapoteza kitu kikubwa kama kuvunjika ndoa na
baadae kuharibu saikolojia ya watoto ambao hawakuomba
kuzalia katika hiyo familia.
Ni wajibu kama watu wazima wenye busara kuyapina mambo
kabla hatujayafanya.
mhhhh nilikuwa siyajui haya...
We umeelewa mada hapa???? Ishu hapa ni kuwafunulia hizo sketi zenu wakati mnasuguliwa kucha alah!!asi rangi tu
hakuna tabu jamani
-na wauza magenge je?mpemba muuza duka?haus boy??????threat zipo nying ni yeye kuamua n by the way WANAWAKE SI WATOTO WADOGO KUSEMA WANAKURUPUKA TU WANA AKILI KM NYINYI WANAUME NA WANAJUA WANACHOFANYA!!
- u as a man u have to fulfil yr duties then u wl c no 1 can cme across to ya wife ...lakin km wewe mvivu WA KILA KITU basi utakuwa unajishtukia kwa kila kitu ata kakake pia unaweza mfikiria vbaya.........KUWA MWANAUME KAMILI!!!!!!
I couldn't agree more.Naona mmesahau kidogo hii kitu mliyosoma mkiwa form one