Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Thats just an exception, not the rule....
Ndio maana yake,wako warembo kibao na kitandani Maash'Allah!!!!
Na wako wa fungu la kukosa kamili,si wa sura si wa umbo na kwa bed ndio worse!!!!
Thats just an exception, not the rule....
Kwani ashakuonaga wewe huyu mtoa mada......eti ame ku CC. Watu wengine bwana.
Mhhh wewe ushaonja wangapi hadi kukoncludi hivo?
Acha Mungu aitwe Mungu. Hapa ndipo ninapoamini laws za compensation na conservation of attributes. Yaani, unakuta mwanamke anayesemwa mzuri hajui chochote kitandani, akijitahidi sana anakuwa average na kuwa average mara nyingi kupitia intensive training. Lakini mwanamke unayemwona halipi sana kwa appearance au physique, dah, ni raider kama Navy Seal Six Team!
Hapo ndipo ninapoamini, mtu (mwanamke) akinyimwa kitu fulani anabecompensated kwa kupewa kitu kingine na attributes zinakuwa conserved!
(Please, kwa leo naomba nisiulizwe research methodology niliyotumia).
cc: Evelyn Salt, lara 1, Babu Asprin
U must be abnormal ! kuna kipimo cha kupima kuwa huyu fundi na huyu goi goi! au unafikiri kila mwanaume anapenda mwanamke anayehangaika kunapo 6-6? Kuna wengine wanapenda mwanamke atulie wafanye kwa ustaarabu, na sio kutoana majasho kama mnakimbiza mwenge!
sasa wewe yamekuingiaje haya, wakati sio mhusika! Mind your business!Nadhani wewe ndie abnormal aisee...a
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Abnormal ni yule asiye normal.The normal ones ni wale wanaopenda hizo mambo, so ukiona we hupendi ujue ni "abnormal".Nadhani wewe ndie abnormal aisee...a
Sent from my iPhone using JamiiForums app