Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
- Thread starter
- #41
Mwanamke less attractive kwako ni malkia kwa mwingine,usiyempenda wewe kuna jamaa hadi analia akimuona anapita kwa jinsi anavyompenda!
Kumbuka Ben Affleck aliwahi kumkataa Jenifa Lopez tena enzi hizo Lopez bado mile hazikuvuta na alikuwa mrembo mno lkn Affleck akasema wazi kuwa Lopez SIYO MREMBO hadi mm nikashangaa!Hakuna formula duniani inayosema mwanamke akisemwa mbaya na wewe basi ndiyo wote wanaume wakukubalie!
Hiyo wala sina shida nayo mkuu, ndio maana nimesema kipimo ni macho ya mhusika.