Wanawake ambao hawajaolewa wanakosea hapa

Wanawake ambao hawajaolewa wanakosea hapa

Mkuu hiyo dhana uliyoweka kichwani kuwa wanawake tu wanakosea ndo mana hawaolewi sio sawa,subiri uwe na mtoto wa kike ndo uje kusema hapa
 
Nimeweka wazi hakuna ubaya kwa mambo hayo akiulizwa swadakta kujibu ila sio katika kujitambulisha wasifu wake chakwanza nina degree. Sijui umenielewa mkuu ?
Hiyo ni cv mzee muhimu useme...... hawa viumbe nao wanaolewa kutokana na cv zao
 
Back
Top Bottom