Wanawake ambao hawajaolewa wanakosea hapa

Upo sahihi kabisaaa, Yani Demu unamuona kabisa anapambana aonekane aonekane na yeye anaweza Kama wewe
 
kijana aliyetoka chuo ni sawa na kijana aliyetoka jkt... huyu wa chuo akija kitaa mtaa mzima utamjua kila neno ni chuo chuo chuo chuo.... mpaka keroooh, huyu wa jkt mda wote atashinda mtaani na mabuti mabuti mabuti(mikasuru mibovu mibovu/ tpdf my way)...
 
Salaam wana jukwaa,

Nijambo zuri kama tukiwa na jamii ya watu wenye furaha na kati ya vitu vinawakosesha furaha wanawake wengi zama hizi ni kutoolewa.

Sasa katika "jitihada za kumsaka" mume kuna makosa makubwa wanzetu hawa wanayafanya. Ila kosa kubwa na linalotamalaki sana ni hili, wanawake hawa wanadhani sisi wanaume tunavutiwa na mambo wanayowavutia wao.

Yani wanawake kiasili wanavutiwa na mwanaume jasiri, mtafutaji aliefikia mafanikio kadha wa kadha. Sasa utakuta mwanamke anaposaka mwenza anajinadi ifuatavyo nanukuu:

1. Mimi umri *****
2. Naishi ******
3. Nimesoma nina degree
4. Mimi nina kazi sio tegemezi
5. Nayajua maisha ni mpambanaji
6. Nina miradi huku na kule
7. Nimejenga **** naishi kwangu
Nataka mwanaume 1...2...3
Alie interested anicheck PM
mwisho wa kunukuu.

Kama umegundua uandishi huo unajionyesha mafanikio ambayo ni jambo zuri kua nayo ila kwa mwanaume sio hasa kipaumbele katika kumpata mke.

Hata hapa jf kwenye love connect utakuta wanawake wote wanatafuta mume kwa hulka hiyo huku wakipuuza kujieleza hasa kwa criteria za kike au labda hata tusiwalaumu labda hawajui wanaume tunamtaka mwanamke wa aina gani.

Ngoja niweke kitu sawa, mwanaume anavutiwa na urembo asili wa mwanamke, utii, heshima, maadili ya kwao, unyenyekevu, usikivu, uvumilivu sio madegree yenu na sijui una nyumba Kibaha. (japo sio jambo baya ukiwa navyo)

Binafsi nimeshaoa ila ningekua sijaoa na natafuta mke, hawa wakujitambulisha kwa idadi ya madegree yao na blah blah zingine nisingepoteza muda hata kuwasalimu tu, kwanini wasijieleze kwa quality za kike sifa ya mke, kwanini wakwepe kuelezea habari ya utii, heshida, etc jibu ni kua sifa hzo yamkini hawana kwahyo wanajipaka manukato ya sifa za kimafanikio, maelimu etc

Mwanamke wa hivi hata ukitoka nae on a date mazungumzo yake sio kuhusu maadili ya kwao wala utii wake hapana mazungumzo yake atajitahidi kuongelea degree yake, na blah blah na wanajionaga wanafaa kweli kua mke haa ha haa

Nawatahadharisha au nawapa angalizo kwa mwendo huo mtawapata wanaume type ya Uchebe ila kwamwe sio high value men. Au nisiwapangie basi endeleeni hivyo hivyo yamkini wanaume mnaowataka ni kina Uchebe maana sidhani mwanamke anaejifisia nina degree nina blah blah blah yuko tayari kuishi na kubehave kama mke.

Na last thing to say, men are very smart. Wanawatumia hawa wanawake na kwenda kuoa feminine ladies its so sad hawa masculine ladies wanaendelea kua masingle mothers.

Ila big up sana kwenu wanawake wenye elimu na carrier ila mnajitambulisha kwa feminine characters (maelimu na mafanikio hayajauondoa uanamke ndani yenu) japo ni wachache SANA.
MKUU,
MIMI #UCHEBE NIMEKUKOSEA NINI MIMI MPAKA WANISEMA VIBAYA MKUU?
 
Ni kweli

Siku nikiweka bandiko langu kule lavu konekti nitaweka sifa hivi
Najua kupika
Najua kufua
Najua kuhudumia mume
Niko na utayari wa kumuhudumia mume 24/7(house wife)
Nayajua vizuri mapenzi(ngono)
Nina heshima
Nina upendo na uaminifu
Nina hofu ya Mungu
Niko romantic
Navaaga kanga

Nikiweka hayo niliyoandika sijui zile comments za kejeli za watafutaji zitaisha?
Ongezea unavaaga dela pia muhimu sana.
 
Dela sinaga/sijawahi kuwaga nayo
Jitahidi uanze kuvaa.
Bila kusahau utawapenda sana ndugu wa mume na kuwapakulia minyama mingi mingi.

Halafu nimegundua JF ke hamvai dela. Hivi lina sifa gani?😀
 
Nimejaliwa upendo sana,hilo jambo la kupenda ndugu sio hata la kulijadili...ni lipo yani

Dela sivai bhana
Ukiweka Bango unitag kabisa kaka yako nipitie cv za watu. Wenye viwanja vya urithi kariakoo watapewa vipaumbele.
Ukizingatia kulwa wangu ww ni 🔥🔥
 
...................Watakuja hapa kuandika shit kwa id zao wanazozitumia sana humu kuji-prioud na kutafutia likes kisha wata-log off wataingia kwa id zao za vilio wakitafuta mume wa kuwaowa huku wakijifanya malaika,unfortunately wasivyojielewa wataorodhesha vijisababu hivi hivi kwenye machaguzi yao.

Tusisahau wengi ni singo mom's pia,wanafoka mbele ya keyboards nyuma ya hapo stress zisizokoma!!!msome huyu hapa chini,ni mkongwe humu ila baada ya kuwa amepita pita humu kujibizana na wanaume kwa I'd yake original kaona aingie chimbo ajitafutie faraja ya moyo wake kwa id ya pili ili kujificha.
Upweke umenichosha sana, nahitaji Mume
 
Salaam wana jukwaa,

Nijambo zuri kama tukiwa na jamii ya watu wenye furaha na kati ya vitu vinawakosesha furaha wanawake wengi zama hizi ni kutoolewa.

Sasa katika "jitihada za kumsaka" mume kuna makosa makubwa wanzetu hawa wanayafanya. Ila kosa kubwa na linalotamalaki sana ni hili, wanawake hawa wanadhani sisi wanaume tunavutiwa na mambo wanayowavutia wao.

Yani wanawake kiasili wanavutiwa na mwanaume jasiri, mtafutaji aliefikia mafanikio kadha wa kadha. Sasa utakuta mwanamke anaposaka mwenza anajinadi ifuatavyo nanukuu:

1. Mimi umri *****
2. Naishi ******
3. Nimesoma nina degree
4. Mimi nina kazi sio tegemezi
5. Nayajua maisha ni mpambanaji
6. Nina miradi huku na kule
7. Nimejenga **** naishi kwangu
Nataka mwanaume 1...2...3
Alie interested anicheck PM
mwisho wa kunukuu.

Kama umegundua uandishi huo unajionyesha mafanikio ambayo ni jambo zuri kua nayo ila kwa mwanaume sio hasa kipaumbele katika kumpata mke.

Hata hapa jf kwenye love connect utakuta wanawake wote wanatafuta mume kwa hulka hiyo huku wakipuuza kujieleza hasa kwa criteria za kike au labda hata tusiwalaumu labda hawajui wanaume tunamtaka mwanamke wa aina gani.

Ngoja niweke kitu sawa, mwanaume anavutiwa na urembo asili wa mwanamke, utii, heshima, maadili ya kwao, unyenyekevu, usikivu, uvumilivu sio madegree yenu na sijui una nyumba Kibaha. (japo sio jambo baya ukiwa navyo)

Binafsi nimeshaoa ila ningekua sijaoa na natafuta mke, hawa wakujitambulisha kwa idadi ya madegree yao na blah blah zingine nisingepoteza muda hata kuwasalimu tu, kwanini wasijieleze kwa quality za kike sifa ya mke, kwanini wakwepe kuelezea habari ya utii, heshida, etc jibu ni kua sifa hzo yamkini hawana kwahyo wanajipaka manukato ya sifa za kimafanikio, maelimu etc

Mwanamke wa hivi hata ukitoka nae on a date mazungumzo yake sio kuhusu maadili ya kwao wala utii wake hapana mazungumzo yake atajitahidi kuongelea degree yake, na blah blah na wanajionaga wanafaa kweli kua mke haa ha haa

Nawatahadharisha au nawapa angalizo kwa mwendo huo mtawapata wanaume type ya Uchebe ila kwamwe sio high value men. Au nisiwapangie basi endeleeni hivyo hivyo yamkini wanaume mnaowataka ni kina Uchebe maana sidhani mwanamke anaejifisia nina degree nina blah blah blah yuko tayari kuishi na kubehave kama mke.

Na last thing to say, men are very smart. Wanawatumia hawa wanawake na kwenda kuoa feminine ladies its so sad hawa masculine ladies wanaendelea kua masingle mothers.

Ila big up sana kwenu wanawake wenye elimu na carrier ila mnajitambulisha kwa feminine characters (maelimu na mafanikio hayajauondoa uanamke ndani yenu) japo ni wachache SANA.
We jamaa vipi yaaani kwahiyo akiulizwa jayo maswali a atakuwa ajibu vipi
 
Ila utandawazi una vimbwanga vyake.

Ukitaka kumjua mwanamke anaefaa kuoelewa, waulize wanao mjua tena wale Wanaume katika wale wanao mjua siyo kila anae mjua. Hapa namaanisha ya kuwa kupata mwanamke wa kuoa mtandaoni ni ngumu kuliko kujaribu kuhesabu nyota angani.

Swali la msingi ni kuwa kwanini mambo yanaenda kinyume na kawaida, leo hii wale wanao tafutwa wanatafuta, ila kwa njia mbaya na mufilisi zaidi, yaani njia ya kujitangaza.
 
Back
Top Bottom