Wanawake ambao hawajaolewa Vs Wanaume ambao hawajaoa

Wanawake ambao hawajaolewa Vs Wanaume ambao hawajaoa

well hao walishajua kabisa kuwa wanaume wanataka K tuu hamna lolote. sasa vijana bwana ukiwapa K wataanza mambo ya kujidai kitaa na kadhalika. alafu uzuri wa kutembea na mwanaume aliyeoa ni kwamba unajua kabisa hapa tupo kuburudani zaidi na mpaka ameweza kuoa maana yake he atleast sensible lol. lastly mwanaume aliyeoa hawezi leta ujinga wa kuvaa ndom...watu wanataka utamu orijinal bwana
 
Wanawake ambao hawajaolewa wengi wao ndio wanaongoza kutembea na waume za watu, kuliko wanaume ambao hawajaoa

kutembea na wake za watu, idadi ya kike ni kubwa na inazidi siku hadi siku.

Nini sababu??


Possible reason ni kuwa mwanamke ambaye hajaolewa anaweza kutembea na mwanaume ambaye ameoa kwa kuamini kuwa anaweza kuolewa hata kuwa mke wa pili au tatu au hata nne! Baadhi ya Wanawake wengine huamini kuolewa ni kutoa nuksi bila kujali kuwa anaolewa na nani!

Kwa mwanaume aliye single kutembea na mwanamke aliyeolewa ni kutaka kula vya bure tu, na hutambua wazi kuwa anachofanya ni wizi mtupu nafikiri ndiyo maana idadi yao ni ndogo kidogo ukicompare na ya wanawake. Kwa hivi sasa inaweza kuongezeka kwa sababu ya visharobaro kupenda kulelewa na mijimama!
Boflo upo?
 
Last edited by a moderator:
Hawa nao wanachangia sana Idadi ya Wanaume kupungua....

tyson-gay_jpg_2299669b.jpg


Ila munju chi Achumani, sasa hivi kuna Dildo na ndimi zinatumika kwa kazi nyingi sana.... We Love Lesbians (Jerry Springer Show).
Lesbians-pose-for-wedding-002.jpg
 
Possible reason ni kuwa mwanamke ambaye hajaolewa anaweza kutembea na mwanaume ambaye ameoa kwa kuamini kuwa anaweza kuolewa hata kuwa mke wa pili au tatu au hata nne! Baadhi ya Wanawake wengine huamini kuolewa ni kutoa nuksi bila kujali kuwa anaolewa na nani!

Kwa mwanaume aliye single kutembea na mwanamke aliyeolewa ni kutaka kula vya bure tu, na hutambua wazi kuwa anachofanya ni wizi mtupu nafikiri ndiyo maana idadi yao ni ndogo kidogo ukicompare na ya wanawake. Kwa hivi sasa inaweza kuongezeka kwa sababu ya visharobaro kupenda kulelewa na mijimama!
Boflo upo?

Umenifungua macho, bac mm nilifikiri vingine kabisa....
 
Hii ina balance sehemu zote mbili (kwani mla cha wenzie, na cha kwake uliwa) ukita kula, lazima na wewe uliwe.
 
Huu ni mjadala, na aliyeulta ni wewe, sisi kazi yetu ni kufunguka tu, na moja kati ya njia bora za kufunguka ni wewe kutupa ushirikiano, kwa mfano kujibu maswali unayoulizwa.....nitashangaa kama kuulizwa tu kama umeoa utakuwa mkali. Kwani ungejibu swali si ndio unanogesha zaid? usitumie "weak defence mechanism"kama hiyo.[QUOTE=Boflo;5029941]Ili iweje?[/QUOTE]
 
Wanawake ambao hawajaolewa wengi wao ndio wanaongoza kutembea na waume za watu, kuliko wanaume ambao hawajaoa

kutembea na wake za watu, idadi ya kike ni kubwa na inazidi siku hadi siku.

Nini sababu??

Nachangia kama ifuatavyo;

1. Wanaume wanachelewa kuanza kufanya mapenzi kulinganishana wanawake.
2. Wanaume wanapenda sana kusex na wasichana au wananwake singles, kwavile idadi ya wanawake ni kubwa hawawezi
kuwatosheleza, kwahiyo ziada yake inachukuliwa na wale ambao wameshaowa.
3. Wanawake wanajisikia na amani zaidi wakiwa na waume za watu kwani wanapata matunzo na huduma nzuri, ambazo
kwa wanaume singles/masharobaro hawawezi kuzipata sana2 wataambulia aibu na maumivu!

Onyo: Wanaume na wanawake watulie kwenye mahusiano yao, ili kila mmoja wao awe ni faraja kwa mwenzie!
 
kwa sbabu wanatembea.

Anyway,baadhi ya wanawake hawapendi ama hawaamini kuwa na mahusiano na wanamme wadogo kiumri zaidi yao.

Mwanamke ambaye ameanza kuwa worried hajaolewa jua ana umri labda 30+
na wanamme wengi wa umri huo wanakuwa washaoa, so je akatembee na kijana wa miaka 22?
 
Back
Top Bottom