Wanawake aisee, dah!!!

Wanawake aisee, dah!!!

80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.

Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.

Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.

Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.

Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.

Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.

Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!😁😁😁

ASILI KWANZA!!!!!
Kuna kituo fulani cha radio ya dhehebu fulani...kila nikifungulia nasikia wanajadili mwanamke.🙂🙂
 
80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.

Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.

Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.

Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.

Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.

Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.

Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!😁😁😁

ASILI KWANZA!!!!!
kwanza wanaume kichwa ngumu tuna namna nyingi ya kuikabili sonona😂😂
 
Masaa 24 yamepita tangu nimpe siri yangu yule Bi' dada.
Kwaiyo kesho asubuhi habari zangu zitachapwa kwa wino mweusi wa herufi kubwa na kugawiwa mtaani, ngoja nimuwahi.
 
Nachukiaga nimwambie demu we mzuri halafu ajibu "asante" ☹️ Mazungumzo yanakosa muendelezo..
 
Hehehehe😃😃😃😃...kumbe ndo mnavyotaka, hao labda watoto wa shule ndo wakufanya hivyo
Kwahiyo nyie mnavyojibu kwa mkato tu "asante" mnakua hamtaki tena mazungumzo au? Inakata stimu..
 
Mwanamke unaweza ukamnyanyasa, ukamtesa, ukamuonesha umalaya, akavumilia muda mrefu.
Ila siku akisema nimechoka naondoka 😄😄
Aisee usitegemee atarudi/kugeuka nyuma.

Utaleta viongozi wa dini,wezee, marafiki, viongozi wa sirikali ila kama jibu litabaki pale pale ni hapana

Sio wote wako hvyo ila wengi wanamsimamo na uvumilivu,tofauti na wanaume ndiyo hapana hapana ndiyo😄😄😳😄😄😄
 
Ila huko aendako akikutana na makorokocho makali kuliko alikotoka, HUWA WANAJUTA HATARI
 
Back
Top Bottom