Wanawake acheni wivu jitumeni

Wanawake acheni wivu jitumeni

Aq

Humu nilipo wanawake wananionea gere
Waongezee dozi, kama ilikuwa ni matofali umeanza kuleta, sasa hv anza kuchimba msingi.

Kama ni mume bc sasa ongeza mume wa pili, mm nipo single 😎

Yani hicho hicho kinachowafanya wakuonee wivu, ongeza mara mbili yake 🔥

Dawa ya moto ni moto 😂
 
Acha tu acha tu wanakustudy wanakupa jambo Mungu anajua
Wanawake wana wivu, roho mbaya,husda kijicho,unafiki,majungu, umbea,fitina na kujipendekeza kinafiki kwa maboss au wakuu wa idara bila kusahau ushirikina na usaliti yaani hutakiwi kupanga jambo na kiumbe cha kike muda wowote itakula kwako, ndo maana napenda kuwagongelea misumali bila huruma..... Nashukuru kwa kuwafahamu wanawake wenzio ndio maana wachawi wengi ni wanawake.
 
Asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom