Wanawake acheni uvivu chumbani

Wanawake acheni uvivu chumbani

Inasikitisha sana hasa ninapo waza kwamba..... Nina watoto wa kike, nina dada, nina shangazi na nina mama.... sasa sijui yupi kati ya hawa atakuja kusemwa kama hivi....[emoji29] [emoji29]
Yaani acha hivi wanawake wakianza kutoa siri za waume zao kutakalika kweli watu hawataanza kuuana jamani hekimu ni kitu muhimu utakuta mleta uzi ana ndugu wa kike nawanazalia nyumbani badala hata kuwaombea analeta vitu vya ajabu ajabu.
 
Ndo maana yake na ukute kabarikiwa neema za bwana sasa
Lakini ni kweli huo mkao huwa unashawishi sana hicho kitu hasa ukikuta mwanamke ambae anajiachia kwako kakuzoea na yupo huru basi atakubinulia huyo hadi ukiweka waeza hisi unatoboa utumbo

Na ukiwa unatazama ile zama toa kweli tigo unaiona laivu ilee na huyo tunaemwita shetani huwa anapitia hapohapo
 
Ndo vidume vyetu vya daslam hivyo
Wala viepe, kuna siku nilikuwa na hamu mishikaki na ndizi nasubiri oda yangu kafika mkaka na pedo lake eti mishikaki 2 na ndizi 2, nikasikia kicheko cha nilikuwa naye eti mwanaume unakula hivyo usiku huu duu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom