Wanawake acheni unafiki

Supermarket zote zinalipa kodi, zinaajiri wafanyakazi wanaolipa kodi, kuna mfuko wa NSSF pia wa wafanyakazi sasa huko kwenye madanguro kodi yao inakwenda wapi?
Kodi inakwenda kwa wanaoyaendesha..... kama wale wengine
 
Kumbe ukinihudumia najiuza, teh teh teh!!,sikujuamo hilo mnunuaji oooh sorry mteja
 
Bado mnalialia tu!
Huelewi. Hela mtapewa na sisi tunazitafute ili tuwape mtupe huduma. Sasa kwa nini tukiwambia mtupe hiyo huduma tuwape hela mnatoa povu alafu tukiwatongoza baadae mnaomba hela kabla ya kutoa mzigo? Sasa si yale yale tu? #unafiki ndo shida. Kuweni wawazi tu mnataka hela ndo mtoe mbunye
 
Wewe toa hela hilo lingine achana nalo
 
Wewe toa hela hilo lingine achana nalo
Lipi hilo? Yaani unihangaishe miezi 6 hadi mwaka nakupigia misele na gharama zangu za kukufatilia ambazo nlikuwa sikulipi wewe alafu alafu nikupate utake biashara ile ile? Sasa kwa nini nlipotaka kukupa hela ili unipe hiyo ndude ulikataa na leo hii unataka tufanye biashara ile ile? Ushapoteza hela zangu ambazo huenda ningekupa wewe kama ungekubali mapema, nshapoteza muda wangu kwa ajili ya unafiki wako wa kutosema tu unataka hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…