Wanawake acheni mitego hii.

Sitanii ujue kweli tabs tuache masihara, EMT ni habari ingine.

Hehehheheheee mwambie Daby asihofu, fimbo ya mbali haiui nyoka yeye yuko karibu hapa anapata vingi zaidi.
Kweli yule ni habari nyingine.
Daby acha wivu, unataka upate vitamu peke yako????
 
A promise is a promise....i'll fix mine maana nikichukua muda ya kwako itabaki kuwa deni kwangu
 
Hizo ndio mbinu zetu kama nyie mlivyo na mbinu zenu.
Husitupangie jinsi ya kueleza hisia zetu. [emoji57]
 
70% ya waliowahi kuniambia nimsalimie mke au mpenzi niliwatafuna kirahisi
 
Khaa jamani hivi si mnatakaga sisi tujiongeze sasa na ninyi mnashindwa nini kujiongeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…