[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasie yo nuts, nimecheka kama chizi hadi watu wananishangaa. Haswa hapo ulipomalizia.
wanakuona haujiongezi wanakuboost boost kidogo akili ishtuke.Unampigia simu mwanamke wakati mkiwa mnaongea anakuuliza swali,MKEO MZIMA??mara msalimie mpenzi wako??huku anafahamu kuwa bado haujaoa,mitego mingeni sio kabisa.
Mwingine anakukaribisha kwake alipo panga wakati anajua kabisa kuwa unaemkuaribisha ni kijana hafu yeye mwenyewe hajaolewa.
Mwingine ni urafiki tu anasema oooh!nmekumisi sana best yangu njoo basi nikuone?
Mwingine Mara nilikuona unafua nguo na unaosha vyombo hipo siku nitakuja nikusaidie wakati huo anajua fika hauna mke.
Mwingine anasema Mara natamani kuolewa wakati anajua kabisa anaeongea nae hana mke .
Wanawake acheni mitego, kama unampenda mwanamme wewe funguka wala hautooneka Malaya kwa wanaume wanaojielewa.
felister habari yakoo ? vipicha vyako vizuriiiiEmu sasa tutag ID's tunazozipenda
siku nyingiii sana muda mfupi tu baada ya Mzee Mkapa kuanza awamu ya pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ule mpaka wa udada na ukaka tuliuvuka lini?
anaandika kwa mcharazo sana tehteheteheteheDuuh pole kaka watakuwa wamekufungia wewe.
Badilisha mwandiko watakufungulia mwandiko wako mweusi saana.
Salama bossfelister habari yakoo ? vipicha vyako vizuriiii
wengine vifuniko vya asali vinapigwa teke vinarukia nyumba ya jiraniLahaula.
Mwanaume hafukuzwi hivyo wala kusimangwa shauri yako muulize Nalendwa mwanaume anabembelezwa kwa massage ukiwa kwa kifuniko cha asali.
Shauriyo.
Haha utakosa vingiiiiNa mimi sichungulii kabisa hadi katikati ya mwezi ujao[emoji23][emoji23]
na ww PM yako umefunga ?Salama boss
Aahahahahhahaaa laigunian Daby baba yeyoo, hivi unajua mshenga wetu Azarel ndo alisababisha tusisibabishe....
Ila usimuulize acha tuu, shida ulishakaa nikuanishie uzi, ungekuta saa hizi una malavu baiti hadi kwenye kucha nini unyayo hehehehehehehe
Usishindwe banaa, unakubalije kushindwa??
Live it Love it.
Matata K.
Hahahahawengine vifuniko vya asali vinapigwa teke vinarukia nyumba ya jirani
Jamaa anakosa mengi huyo..anaandika kwa mcharazo sana tehtehetehetehe
Try to understand the art of flirting...
Hizo ni mambo za kawaida...
Walana ww PM yako umefunga ?
Siulizi alisababishaje...nachouliza tu siku hizi yupo wapi simwoni.
Live it love it...hivi wewe ndiye uliianzisha hii au mimi!
Hamkawii kutuchomolea betri ngoja nivikose tu hivyo vingi[emoji23][emoji23]Haha utakosa vingiiii
Kasie bado nina deni lako, natafutia wewe muda na nafasi...
Nakunyima like yangu😁Mwingine anajua hajafunga PM halafu eti ananipa like.
Sijui mnatutakia nini sie watoto wa wanawake wenzenu. Utaona tu hapa watanipa.