minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 502
- 871
[emoji24][emoji24][emoji24]Nimekuacha na michepuko yakoππ
[emoji134][emoji134][emoji134]Duuh pole kaka watakuwa wamekufungia wewe.
Badilisha mwandiko watakufungulia mwandiko wako mweusi saana.
Ha ha ha...!Na wewe kwanini hutegeki?
Mimi yangu ipo wazi kabisa tena hata sijarudishia mlango, naanzaje kufunga PM mwisho wa mwezi huuππ
Na mimi sichungulii kabisa hadi katikati ya mwezi ujao[emoji23][emoji23]Mimi yangu ipo wazi kabisa tena hata sijarudishia mlango, naanzaje kufunga PM mwisho wa mwezi huu[emoji23][emoji23]
Huo hauwezi kupona milele.Hivi haujapona huu ugonjwa kumbe!
EMT
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huo hauwezi kupona milele.
Namba yangu ya TTCL si unayo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah huyu jamaa angethubutu kuni PM tuu ningesingizia hadi nna mimba yake, sikuwahi kumfahamu ila sifa zake nilizipata nikajuta kwanini sikuwepo wakati wake....
Kasinde.
This is what we call emotional abuse.Daaah huyu jamaa angethubutu kuni PM tuu ningesingizia hadi nna mimba yake, sikuwahi kumfahamu ila sifa zake nilizipata nikajuta kwanini sikuwepo wakati wake....
Kasinde.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah umenichekesha sana kasie. Yaani huyo ni mwanaume na robo tatu, sijui kwanini wanapotea yanabaki mafurushi tu huku.
Mbona wakati yupo ulikuwepo? Sema tu labda haukuwahi kuonana nae. Ana madini ukiyasoma unaishiwa nguvu kabisa.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Heeehhh uzee huu, kumbe nami ni wa kitambo hicho hahahahahahahahaaaa
Kiukweli EMT popote alipo, akisikia ujumbe wangu basi ajue nimemuofa kwa moyo kunjufu kinywachi chochote anachopendelea au kwenda kutengeneza nywele saluni yoyote atakayo au chakula cha mchana au usiku popote pale.
Achague kimoja tuu, sijamdondokea ila namkubali ila pia akinigusa tuu kama anataka kuniuliza kitu ntageuka na kusema nimekubali milele na milele Amina [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Matata K.
Mmmh.
Haya kaa mkao wa kula.
Hapa itabidi nighairi tu anasifiwa mwingine miye niwe wa kuhonga kweli!Ole wako unidanganye, nakuendea kwa babu.
This is what we call emotional abuse.
Hysterically, romantically screaming and praising at other man while we're here is considered to be emotional abuse.
Kwanini usikuwepo wakati Atoto alikuwepo?