Wanawake acheni kuvaa mawigi

Hapo bado hujaongelea makeups zao..Yani wengine ukikutana nao barabarani unajiuliza leo ni Halloween day ama

Hahaha kwa raha zetyuuuu na Halloween zetu
Daddy sema vizuri hupendi weaves au gharama za weaves. Maana leo kila mtu hapendi weaves eti daah
 

Wewe tulia usipanic na ukute sasa hivi umelitundika kichwani kwako

Unavaa wigi kushindana na mwanamke mwenzako hata kama halivutii?

Kwani unavyojipodoa, kujiremba na kukesha kwenye kioo huwa unafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mwenzako? Huo ndio ulimbukeni wenyewe

Hilo wigi la laki3 ni Fake Hair pia, acha ushamba
 

We ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh
 

Mbona unajazba sana,imegusa moyo wako nini? Jamaa katoa ushauri tu wala hajakwambia wewe.Samahani kwa kuingilia mazungumzo
 

Hii kitu niliisikia kwa mwanasaikolojia mmoja, eti women do things for their fellow women to see not men, hivi kumbe ni kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…