Rafiki ni ngumu ujue kumpa ushauri nasaha mana ninaokutana nao walio wengi ni kwenye usafiri wa umma na unakuta hata hatufahamiani. [emoji2]Na hata hao baadhi kuna mambo yanachangia wawe hivyo, mkikutana nao mnawasaidia tu hata kwa ushauri na saha..🙄
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa
Rafiki ni ngumu ujue kumpa ushauri nasaha mana ninaokutana nao walio wengi ni kwenye usafiri wa umma na unakuta hata hatufahamiani. [emoji2]
Hivyo naishia tu kuwaangalia na kushangaa kulikoni.
Kama kwenye usafiri inakua ngumu. Wengine hua unakuta wanakua wamejikatia tamaa ya maisha, yaani unakuta wanajiona hawana value yoyote, so wanahitaji mtu wa kuwaonesha kua nao wana thamani. Wengine hawajielewi, wengine ni asili yao...
Unaendeleaje Rafiki ?
Habari za asubuhi ?
Kazi njema na asubuhi njema rafiki.
Duh..Na nyie badilikeni mnakojoa hadharani km mbuzi , bila kuchamba mnanukaa Pumb*******
Raha ipi?Mkuu nkiona hili device lako huwa nasikia raha sana
Mpeleke mguu kwa mguuTatizo wadada hata ukiwapa hela ya saloon huwa hawaendi saa nyingine
Mpeleke mguu kwa mguu
Raha ipi?
Nina kipara, situmii hayo manywele ya kondoo.Ntakuwa nakupeleka ww
Utengeneza hata kuchaNina kipara, situmii hayo manywele ya kondoo.
hata sijui kwanini dada angu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nini sasa mdogo?
Daah. Pole basi mdogo wangu.hata sijui kwanini dada angu
Me mzima hofu kwako tu dadaDaah. Pole basi mdogo wangu.
Mzima lakini?
Sijambo sana mdogo wanguMe mzima hofu kwako tu dada
Na kwako pia dadaSijambo sana mdogo wangu
Uwe na siku njema.