Niende kwenye mada ni hiv hawa dada zetu wanao vaa mawigi na wanao suka ebhana ni wa chafu balaa yani ukinusa mawigi au misuko yao yananuka balaa sababu hawanawi maji kichwani wanaishia shingoni tu kwahyo dada zangu badilikeni ogeni mwili mzima mnatuboa bhana
Naona umejitoa mkuu au ndo Amber style ?Wamekusikia
SanaKweli wananuka!
Umejikausha kau...!Wamekusikia